Ratiba ya robo fainali Europa League hii hapa

Comment

Droo ya robo fainali ya UEFA Europa League imefanyika leo March 17 2017, kwa timu nane ambazo zilifanikiwa kufuzu hatua hiyo.

Timu zilizofanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya UEFA Europa League ni Anderlecht, Man United, Lyon, Beşiktaş, Ajax, Schalke, Celta Vigo na KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta.

Michezo ya kwanza ya robo fainali ya UEFA Europa League itachezwa April 13 na marudiano ni April 20.

Ratiba ya robo fainali ya UEFA Europa League 2016/2017

Up Next

Related Posts

Discussion about this post