Rama Dee adai Adam Juma amefunikwa na Hanscana

Rama Dee anaamini kuwa Hanscana ni zaidi ya Adam Juma kwenye uongozaji wa video za muziki kwa sasa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu hapo juu:

Baadhi ya mashabiki wamekerwa na kauli yake. Wewe mtazamo wako ni upi?

 

Leave a Reply