Sambaza:

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kwa mara ya kwanza amepigwa picha akiwa amenyoa nyele zake wakati alipohudhuria mazishi ya mwanajeshi wa zamani.

Wengi wanaamini ni mara ya kwanza Mugabe kunyoa nywele zake na hata masharubu. Picha zilizochapishwa katika mitandao ya kijamii zimevutia maoni kutoka kwa raia wa Zimbabwe.

Muonekano ambao wengi walikuwa wamezoea kumuona Rais Mugabe

Baadhi wamesema kuwa mtindo alionyoa umechangia aonekane kijana. Lakini hata hivyo wengine wanasema kuwa wameshangaa kuwa nia yake ni ipi.

Toa maoni yako kwa muonekano mpya wa Mugabe


Sambaza:
SOMA NA HII:  Nahitaji Antivirus, Je Wewe Unatumia Antivirus Gani Kwenye Kompyuta Yako?

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako