Nyingine

Rais Magufuli ateua mkurugenzi mkuu wa TBS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Prof. Egid Beatus Mubofu ambaye alikuwa akikaimu nafasi hiyo, amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Joseph B. Masikitiko ambaye uteuzi wake ulitenguliwa.

Soma Taarifa kamili:

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *