Rais Magufuli amsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge) – Uledi Abbas Mussa

Ametenguliwa ili kupisha uchunguzi dhidi yake kufuatia tuhuma za kutozingatia taratibu zinazotakiwa katika kushughulikia masuala ya uwekezaji.

1 0