Rais Magufuli aamuru TRA, TFDA, TBS na TPA wawe wanafanya kazi saa 24 Bandarini

Comment

Ili kukamilisha kazi ya kutoa mzigo bandarini kwa muda mfupi, mamlaka hizo zimeamriwa kufanya kazi masaa 24 kwa shift, kwa kuwa bandarini ni sehemu muhimu. Waziri Mkuu amesema anataka kupata taarifa Jumatatu kuwa utekelezaji huo umefanyika,.

Amesema bandari ya Mombasa inatoa mzigo ndani ya siku 9 huku ya Dar ikichukua siku 14.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post