Tech Poll

Pumzika kwa Amani Teknolojia ya zamani

Dunia inamchanganyiko wa kila aina ya Mlengo wa Maisha. Lakini Sayansi ni kitu ambacho kila kiumbe duniani kimenufaika nayo kwa kujua au kutokujua.

Kwenye picha ni baadhi ya teknolojia za zamani, wengi tumezitumia wakati tunakua (pole kama hujatumia vifaa hivi vya tehama kwenye maisha yako !!!).

Tuambie wewe unakumbuka nini kuhusu vifaa hivi vya zamani ?

Zinazohusiana

1 thought on “Pumzika kwa Amani Teknolojia ya zamani”

  1. Umenikumbusha wakati nikiwa sekondari nilifanikiwa na kompyuta ya kwanza, na nilitumia โ€œFloppy Diskโ€ kuhifadhi michezo(Games). Kwa teknolojia ya sasa tunatumia โ€œUSBโ€ kuhifadhi au kuhamisha makabrasha(files/documents/data).

Leave a Reply

Your email address will not be published.