Polisi na wanajeshi kupanda bure kwenye daladala ni sheria au mazoea ?

Katika maeneo mengi niliyotembelea hapa Tanzania, askari wanapanda kwenye daladala bure, na baadhi ya maeneo nimeona kuna idadi maalumu ya askari kupanda kwenye vyombo vyetu vya usafiri.

Je ni sheria ? ama kuna makubaliano kati ya serikali na wamiliki wa daladala askari  kupanda bure ?

Leave a Reply