Nyingine

Picha za utupu za Mwanamke anayegombea urais Rwanda zavuja mtandaoni

Baada ya  Mrembo Diane Shima Rwigara kutoka Rwanda kutangaza kugombea urais nchini humo, hatimae picha zake za utupu zimevuja mtandaoni .

Diane Rwigara akiongea na waandishi wa habari mjini Kigali Jumatano, kuhusu dhamira yake ya kuwa Rais wa Rwanda

Mrembo Diane 35, ambae ni msomi wa Uchumi na mtoto wa aliyekuwa tajiri maarufu nchini Rwanda Asinapol Rwigara, picha zake za utupu zilianza kusambaa mapema jana nchini Rwanda hususani kwenye mitandao ya kijamii kama WhatsApp na Facebook na baadae kutapakaa Duniani kote.

Mrembo Diane Rwigara akiwa mtupu .

Picha zake za utupu zimetumwa kama barua-pepe kwa vyombo vya habari na mtu aliyejiita Twahirwa Emmy ambaye amejitambulisha kuwa ni mwandishi wa habari aliyechukizwa na maadili ya mgombea huyo mtarajiwa huku akishinikiza kuwa mrembo huyo hafai kuchaguliwa kuwa Rais kwa vitendo vyake  vichafu vya kupiga picha za utupu.

Uchaguzi mkuu wa Rais nchini Rwanda unatarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa Augosti,  Mediahuru.com itakuletea kila tukio litakalotokea nchini Rwanda kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo.

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close