Habari za TeknolojiaNyingine

Picha: Yaliyojiri jijini Arusha katika kuwaaga wanafunzi wa Lucky Vincent

Leo ndio miili ya watu 32 wakiwemo wanafunzi 29 wa Lucky Vicent waliopata ajali ya gari May 6, 2017 imeagwa mkoani Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Kutoka katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid mediahuru.com tumekusogezea picha hizi za  baadhi ya matukio uwanjani hapo.

 

 

 

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *