Home Nyingine Picha: Wauza madawa wanatumia Quran kusafirisha madawa ya kulevya

Picha: Wauza madawa wanatumia Quran kusafirisha madawa ya kulevya

0
0

Mamlaka za Saudi Arabia, sasa zinalala macho wazi  ili kutokomeza biashara ya madawa ya kulevya kutokana na wafanyabiashara kutumia mbinu mpya za kuingiza madawa ndani ya nchini hiyo.

Kwa mujibu wa Al Arabiya, wachuuzi sasa wanasafirisha madawa ya kulevya kwa kutumia Quran. Picha zilizowekwa kwenye tovuti hiyo zinaonyesha madawa ya kulevya yakiwa yamefichwa katika Quran.

Wachuuzi wa madawa ya kulevya  pia wanatumia kondomu kusafirisha magendo. Pamoja na hatari kubwa ya mfuko kupasuka, smugglers hawahofii kumeza madawa yakiwa yamefungwa katika kondomu.

Awali walikua wanatumia matumbo ya kondoo,  nyanya, makokwa ya karanga , auto parts, mitungi ya gesi, taa na vitabu.

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *