TENGENEZA MALENGO YA KUKUFIKISHA KATIKA NDOTO ZAKO.

Malengo ni mawazo ambayo umedhamiria kuyafikia! Lakini pia malengo ni mafanikio ya baadaye yaliyopangiliwa yenye muda ukomo ambayo unaenda kuyafanyia kazi! Malengo ni mwongozo wako wa kufikia malengo yako! Ni mahali ambapo unataka kupafikia! Hebu angalia unaenda mahali ambapo hupajui! Ooh balaa hii! Kuwa na malengo ni jambo la msingi sana katika maisha! Ni kitu […]

Ubunifu wa mafazi unavyoweza kuongeza pato la mtu na kukuza uchumi

WOW! Angalia Jinsi Jamaa alivyo Propose Kwa Girlfriend wake wakiwa Kanisani (Picha)

Walikutana kwenye sherehe miezi kadhaa iliyopita na jamaa akafanikiwa kuongea na mwanamke huyu ingawa alikuwa amekaa na boyfriend wake. Boyfriend wake huyo wa zamani aliamua kumwacha huyu mwanadada kwa sababu aliwaona wakati jamaa anaongea nae.Leo story imebadilika na kuwa nzuri zaidi kwake baada ya jamaa huyo mpya kuamua kuproposed, ndani ya kanisa,na mwanadada amejibu NDIYO. […]

Ubunifu wa mafazi unavyoweza kuongeza pato la mtu na kukuza uchumi

Mtoto wa kiume vs Mtoto wa kike – Kwa nini Waafrika wanawathamini zaidi watoto wa kiume kuliko wa kike?

Guys! Kama Mke wako amebahatika kupata watoto 4 wa kike, Je utaendelea kujaribu upate mtoto wa kiume ? Ladies! kama wewe umejifungua watoto 4 wa kike . Je utashukuru Mungu na kuacha ama utaendelea hadi upate wa kiume ? Kwa nini watoto wa kiume wanathaminiwa zaidi barani Afrika? Kwa nini wanawake huofia ndoa zao kuvunjika […]

Ubunifu wa mafazi unavyoweza kuongeza pato la mtu na kukuza uchumi