Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Ikiwa unapenda kuangalia sinema na unataka kupakua filamu (movie) mpya unazozipenda, utakuwa na furaha baada ya kusoma makala hii kwa sababu nimeandaa orodha ya tovuti bora 5 za kupakua sinema kamili bila malipo kabisa. Rafiki! Huna haja ya kununua CD yoyote au DVD ya sinema. Tumia tovuti hizi kupakua sinema za bure mtandaoni. Hizi zote […]

Top 10 Website Za Kudownload Movie na Series Mpya Kupitia Simu Yako

Top 10 Website Za Kudownload Movie na Series Mpya Kupitia Simu Yako

Je! Unapenda kuangalia sinema (movie) muda wowote ule? Basi utakuwa unapenda kupakua sinema za bure kwenye simu yako. Kwa hiyo, hapa kuna vyanzo kumi vya kupakua filamu za bure kwenye simu yako ya mkononi. Hapa watumiaji wanaweza kubadilisha na kupakua filamu kwa urahisi huku kasi ya tovuti ikitegemea browser yako na kasi ya mtandao. Unaweza […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Jinsi ya Kudownload Youtube Videos kwa kutumia simu yako

Uwezo wa kuangalia video za youtube moja kwa moja kwenye simu zetu za smartphones ni moja ya vitu ambavyo watu wengi wanafurahia. Lakini wengi wetu tunatamani kuwa na baadhi ya video tunazozipenda kwenye simu ili tuweze kuzitazama tena na tena hata pale ambapo hatuna mawasiliano ya intaneti, hapa ndipo umuhimu wa kujua jinsi ya kudownload […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Jifunze Njia Mbalimbali Za Kushusha Video Kutoka Youtube bure

Wengi wetu tunapenda kuangalia video za youtube kwenye simu na kompyuta, na tunatamani kuwa na baadhi ya video tunazozipenda ili tuweze kuzitazama tena na tena hata pale ambapo hatuna mawasiliano ya intaneti.  Ondoa shaka kwa maelezo yafuatayo utajua ni kwa namna gani unaweza kuzishusha video za youtube kwa vifaa/simu za android na kompyuta. Zifuatazo ni […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Jinsi ya kutumia simu au internet ya simu kama modem kwenye kompyuta

Una Kompyuta, Una Smartphone yenye Android OS na huwa unapata tabu kutumia simu yako wakati ukiwa busy na Kompyuta? leo hii nitawaonyesha namna nyingine rahisi kabisa ya kugeuza simu yako kuwa modem ili undelee kurahisisha maisha yako na kufurahia kuwa na hiyo smartphone yako au tablet. 1. Kwa kutumia ‘USB’ Kabla ya yote kwanza hakikisha […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Android “Secret” Codes Unazopaswa Kuzifahamu

Wakati mwingine napenda kutumia njia za kitofauti katika matumizi yangu ya vifaa na programu za Android. Kama ilivyo desturi yangu ya kuchunguza vitu nimefanikiwa kujua codes hizi za siri ambazo zimefichwa ndani ya Android. Kuingiza codes hizi tumia mfumo wa kawaida wa  dialer na kutumia vidole vyako kuandika code sahihi. Code Description *#*#4636#*#* Display information […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Jinsi ya Kurudisha Data Zako Zilizofutwa Katika Simu ya Android

Kwa bahati mbaya unaweza kufuta taarifa zako muhimu kama vile picha au hata video na ukashindwa kuelewa ufanye nini kurudisha data zako, USIKASIRIKE sio kitu kipya wote tumeshawahi fanya. Mediahuru inakuletea njia ya kurudisha data zako kwenye kifaa cha android. Ndiyo, unaweza kuzipata taarifa zako zote ambazo ulifuta kwa bahati mbaya lakini kabla ya kuzipata […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Rudisha Vitu/Data zako Zilizopotea Katika Flash/External HDD Kwa Urahisi

Je ulishawahi kukutana na tatizo la kupotea kwa data zako kwenye flash au External hard disk?ternal hard disk yako kwenye Kompyuta inaonyesha ina  vitu/data ila ukifungua haukuti kitu? UFAFANUZI; Kwanza hupaswi kuformat flash/external hard disk yako Kwa sababu vitu vyako vipo salama kabisa Vitu vyako vimefichwaa na aina yaVirus anayeitwa “Skypee” (aina ya virusi inayounda […]

Jinsi ya Kuwezesha Icon ya “My Computer” kwenye Windows 7 Desktop

Sasa unaweza kutumia PayPal kupitia app ya simu ya Skype kutuma pesa

Mtandao mkubwa wa malipo mtandaoni ambao bado unakua, PayPal imetangaza makubaliano mpya na Skype ambayo yatawawezesha watumiaji katika nchi 22 ulimwenguni kote kutuma fedha kwa watumiaji wengine wa Skype kupitia toleo la jipya la app ya simu ya Skype. Hii inaongeza uwezo wa PayPal kufikia watu wengi zaidi- app ya Skype imepakuliwa mara zaidi ya […]

Google “GBoard Keyboard” sasa inakuwezesha kutumia Maps na YouTube ndani ya app

Benki ya CRDB Kutumia Namba ya Simu Kufungua Akaunti

Baada ya kuwawezesha wateja wa benki hiyo kuhamisha fedha kwenda kwenye simu zao za mkononi, mfumo unaorahisisha kulipia bili za aina tofauti. Mabadiliko ya mfumo wa kibenki na kukua kwa teknolojia kumepelekea Benki ya CRDB kukamilisha mchakato wa kuwawezesha wananchi kufungua akaunti kwa kutumia namba zao za simu za mkononi. Mpango huo umebainishwa na Mkurugenzi […]

Faida ya mabenki nchini Tanzania imeporomoka, Je uchumi wetu unaendelea?

Tigo imeboresha mafunzo ya Tehama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, imetoa msaada wa kompyuta 47 zenye thamani ya Sh. milioni 71 kwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kuimarisha juhudi za taasisi hiyo za kutoa elimu ya juu nchini. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari, akikabidhi kompyuta hizo, alisema kuwa kupitia sera ya uwajibikaji, kampuni hiyo imejikita […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Jinsi ya kuripoti akaunti ya mtu aliyekufa kwenye Google

Akaunti ya Google bila shaka ni moja ya akaunti muhimu zaidi ambayo watu wanaitumia kwenye mtandao siku hizi. Siyo hivyo tu, ni ngumu pia. Google kwenye ukurasa wa taarifa ya akaunti yake inasema kwamba “Watu wanatarajia Google kuhifadhi taarifa zao kwa usalama, hata wakati wa kifo chao.” Inasema wazi kwamba kampuni haiwezi kutoa nywila au […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Jinsi ya kuripoti akaunti ya mtu aliyekufa kwenye Facebook

Mtu unayemjua akifa, unaweza kufanya ombi la mtandaoni ili akaunti yake ya Facebook iondolewe au kukumbukwa. Akaunti zilizohifadhiwa kwenye Facebook zinaruhusu marafiki na familia kushirikisha kumbukumbu baada ya mtu wao wa karibu kuaga dunia. Mtu pekee ambaye anaweza kusimamia akaunti ya kukumbukwa ni “legacy contact”, ambaye lazima awe maalum na amewekwa na mmiliki wa akaunti. […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure

Google search history: Jinsi ya kufuta kwa urahisi historia yako ya utafutaji kwenye Google

Kila siku mabilioni ya watumiaji kote ulimwenguni hufanya utafutaji wa mamilioni ya vitu kwenye Google, iwe kwenye smartphone au desktop. Wewe na mimi tu tunatafuta zaidi ya mamia ya maneno, tovuti. Picha, na video kwenye Google ili kuendana na ulimwengu wote. Lakini ni jinsi gani mtu anaweza kufuta safu nzima ya utafutaji wa Google? Hivi […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Miji yenye teknolojia kubwa zaidi dunia

Miji yenye teknolojia ya juu dunia huvutia, hutoa upatikanaji wa mitaji ya ubia, ni nyumbani kwa start-ups  na incubators, ina sifa za kuwa miji bora zaidi – hufanya iwe na uwezo na yenye nguvu – na ni chagua la kwanza kwa upanuzi na uhamisho wa mashirika makubwa ama kampuni. Uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Firefox Send: Mozilla Waja na Njia Mpya ya Kutuma na Kupokea Mafaili

Kampuni ya Mozilla ambao ni wamiliki wa kivinjari cha Firefox, wamekuja na njia mpya ya kutuma na kupokea ma-faili ya aina mbalimbali kwa urahisi kabisa. Sehemu hiyo ambayo ipo kwenye majaribio inakupa uwezo wa kutuma ma-faili yenye ukubwa wa hadi GB 1, utofauti wa sehemu hiyo ni kuwa utapewa nafasi ya kutuma ma-faili ambayo baadae […]

AfriCar Group inatafsiri tovuti zake katika lugha 10 ili kuongeza watumiaji

Kampuni ya Tecno Sasa Kuja na Simu Kwaajili ya Mashabiki wa mpira

Kampuni maarufu Africa kwa kutengeneza simu za mkononi yaani Tecno Mobile hivi karibuni imefanikisha kuingia makubaliano ya kibiashara na timu kubwa ya mpira wa miguu ya uingereza ya Manchester United ambapo kampuni hiyo imepanga kutoa simu zenye ubora huku zikiwa na rangi pamoja na nembo ya timu hiyo, imeripoti gazeti la nipashe. Kwa mujibu wa […]

Tweet ya Obama Kuhusu Ghasia za Charlottesville Imependwa Zaidi Katika Historia ya Twitter

Njia za kumia SmartPhone kulinda gari lako

TEKNOLOJIA inazidi kuchukua nafasi kwenye maisha yetu, hii inatokana na kasi kubwa ya uvumbuzi unaoendelea kufanywa na wataalamu kila iitwapo leo. Je, umeshawahi kwenda mahali ambapo kuna magari mengi tena yanayofanana na lile la kwako kisha ukajikuta hujui ni wapi lilipo gari lako? Kama hivyo ndivyo basi tambua kuwa kwasasa kuna kifaa maalumu kilichotengenezwa ili […]

Top 5 ya Website Unazoweza Kudownload Movie Mpya Bure