Nyingine

P square Wamwaga Mamilioni Kununua Private Jet (Picha)

Wasanii maarufu kutoka nchini Nigeria, Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la P-Square wamenunua ndege binafsi.

Chanzo cha taarifa hii kinasema mapacha hao wametumia mamilioni ya pesa kununua private jet hii kwa mtu wa uarabani.

Kupitia mtandao wa Twitter, Peter Okoye amethibitisha jambo hilo kwa kuandika maneno haya;

“Jetting privately….thanks to God and the fans. You all made it possible. Baba God done settle us…I no go lie. Just included on our list…that very list……shhhhhh.”

Huku wakiwa na nyumba kwenye miji ya Jos, Port Harcourt na Lagos, kwa sasa ni wazi P square ni wasanii matajiri zaidi nchini Nigeria.

SOMA NA HII:  Swali la Siku: - Kati ya Vitu Hivi 3, Ni Kitu Gani Ni Ngumu Kwako Kuishi Bila Kukifanya?

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako