Sambaza:

Opera Mini ni browser maarufu sana hasa kwa vijana hapa Tanzania. Watumiaji wengi wa simu za kisasa hasa wale wanaopenda kutumia intaneti wanasema Opera ni nzuri.

Kuna browser nyingi kwajili ya simu kama vile Mozilla, Chrome,dolphin,Safari, Uc browser, Opera Mini na nyingine nyingi ila karibu zote zinafanana na unaweza kutumia moja ukaacha nyingine.

Ila Opera na ucweb ni browser zenye utofauti mkubwa na watu wengi wanaotumia simu za mkononi wanapenda kutumia browser hizi.

Je wangapi mnatumia Opera Mini kwenye simu ? Je unaweza kumshauri mwenzako atumie browser hii ? Unaamini kwamba inatumia Bando kidogo ?


Sambaza:
SOMA NA HII:  Kanuni za Kubet Muhimu Kuzingatia Kwenye Betting

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako