Home Nyingine Nyota Ya Tyra Banks Yazidi Kung’aa Sasa Awa Host Mpya Wa ‘America’s Got Talent’

Nyota Ya Tyra Banks Yazidi Kung’aa Sasa Awa Host Mpya Wa ‘America’s Got Talent’

0
0

America’s Got Talent imepata host mpya na ana mvuto sana!!!

Mwanamitindo maarufu  na TV personality Tyra Banks ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 43 ametia saini kuwa host wa msimu wa 12 wa reality show hiyo, kufuatia kuondoka ghafla kwa kwa host wa muda mrefu Nick Cannon.

Paul Telegdy, rais wa NBC Entertainment’s Alternative and Reality Group, ametoa taarifa hiyo siku ya jumapili 12/3/2017 na kuandika maneno haya kuhusu Tyra :

“Tyra is the complete package: Out-of-this-world talented, funny, brilliant and all heart. In whatever she has done, she has always connected with audiences around the world.”

Telegdy aliendelea kwa kusema kwamba Banks “vivacious spirit will infuse AGT in a big way.”

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *