Nyingine

Nyota Ya Jacqueline Mengi Yazidi Kung’aa Atunukiwa Tuzo mbili za ubunifu kutoka Italy

Mtanzania Jacqueline Mengi, ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000 ametunukiwa tuzo mbili za ubunifu  kutokana na  biashara yake ya Furnitures za kisasa zinazobuniwa kwa kiasi kikubwa hapa hapa Tanzania.

Jacqueline kupitia brand yake ya Molocaho ametunukiwa tuzo hizo mbili kutoka Italy zikiwa ni za Furnitures zenye ubunifu wa kipekee na Taa zenye utofauti.

Toa maoni yako kuhusu ushindi wa Jacqueline Mengi

SOMA NA HII:  Swali la Siku: - Kati ya Vitu Hivi 3, Ni Kitu Gani Ni Ngumu Kwako Kuishi Bila Kukifanya?

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako