Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

Comment

Leo, napenda tushirikishane wimbo ambao kila mmoja wetu anaupenda sana, akiisikia anajisikia yupo on top of the world.

Wimbo ambao ukiusikia moyo wako unafarijika sana, hata kama una hasira, masikitiko na kukata tamaa inakufariji kupita maelezo.

Kwangu mimi wimbo ninaoupenda kuliko nyimbo zote duniani unaitwa Mbele Kwa Mbele – Umeimbwa na Dj Yusuf Ft Hard Mad.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!