Nunua Simu za Tecno Mtandaoni kupitia ZoomTanzania & Jumia Online Stores


Unaweza kununua simu za mkononi zilizotengenezwa na Tecno, Kampuni ya simu kutoka China inayoongoza kuuza simu za gharama nafuu, mtandaoni hapa Tanzania. Aina mbalimbali ya Simu za Tecno na simu janja za  gharama ya chini zinapatikana sasa kwenye Jumia na ZoomTanzania, wauzaji wawili wa vitu mbalimbali mtandaoni nchini Tanzania. Nunua simu ya Tecno mtandaoni kwenye maduka haya na ikufikie kwenye mlango wako ndani ya siku 1 hadi 5 kulingana na eneo lako nchini Tanzania.

WAPI NAWEZA KUNUNUA SIMU ZA TECNO

Zoomtanzania.com Nunua Sasa

Jumia.co.tz Nunua Sasa

Simu za Tecno

Nunua Simu za Bei Nafuu Mtandaoni

Tecno ni brand ya simu inayoongoza kuuza simu za gharama nafuu nchini Tanzania. Simu za Tecno kwenye Jumia ni pamoja na simu za simu zinazoanzia bei ya Tsh40,000 hadi Tsh900,000. Simu za Android za Tecno kama Tecno Phantom 6, Tecno Phantom 8, Tecno Q1, Tecno W5 na Tecno M5 pia zinapatikana kwenye maduka ya mtandaoni ya Jumia na ZoomTanzania. Ikiwa unatafuta simu za bei ya chini, unapaswa kuangalia baadhi ya simu za Tecno kwenye Jumia na ZoomTanzania.

SOMA NA HII:  TCRA imezindua mfumo wa usajili laini kwa kutumia alama za vidole

Kama bidhaa nyingine zote unazonunua kwenye Jumia, unapata guaranty 100% kwenye simu zilizopo za Tecno. Baadhi ya simu za Tecno za bei nafuu zinapatikana kwenye Jumia ni pamoja na Tecno T465, Tecno HD30 na HD70, pamoja na Tecno T6.

Nunua Simu za mkononi za Tecno kwenye Jumia au ZoomTanzania na zikufikie mikononi mwako ndani ya siku 1 hadi 5 za kazi. Unaweza kulipa kwa kadi yako ya debit/ATM card au kwa amana ya benki (bank deposit). Huduma ya kulipia baada ya mzigo kufika pia inapatikana katika miji michache.

Makala Zingine Kuhusu Kufanya Manunuzi Mtandaoni

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA