Sambaza:

Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakini pia tunaweza kupoteza vitu adimu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa.

Leo nimeona ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.

”Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani”.

 

”Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake.
Njaa haijaletwa na serikali”.

Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote.
Na sisi hatujengi.

”Hakuna kufanya za siasa mpaka 2020”.

 

”Siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu.
Nakushangaa Shein kuwaingiza wapinzani”.

”Sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais.
Katiba sio kipaumbele changu. Kwa sasa nainyoosha nchi kwanza”.

”Police mkikuta mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi,
ng’oa tairi uzeni”.

”Watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu
hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure”.

Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea. Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye mada hii.

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako