Elimu

Nini maoni yako kuhusu shule za boarding kwa watoto wa primary ?

Kumezuka mtindo wa wazazi kupeleka watoto wao shule za boarding tangu nursery lakini kwa primary hali ni mbaya zaidi.

Kuna baadhi wanadiriki hata kuwapeleka nje ya nchi, lakini kuna changamoto nyingi za kimazingira na kimakuzi mtoto anapoishi mbali na wazazi wake au watu wake wa karibu.

Je mtanzania mwenzetu, nini maoni yako juu ya hili?

Tunaweza kushare experience ili tujifunze uzuri na ubaya wake?

SOMA NA HII:  Orodha ya Maneno ya Teknolojia na Tafsiri zake kwa Kiswahili

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.