Nimepatwa na uchungu, majonzi makubwa ninapoyaona majeneza-Rais John Magufuli

Comment

Rais John Magufuli

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Rais Magufuli amesema kuwa amepatwa na uchungu na majonzi makubwa alipoona majeneza ya watoto na walezi wao waliopoteza maisha katika ajali ya basi huko Arusha.

Rais John Magufuli kupitia ukurasa huo ameandika:

‘Tunapoomboleza vifo vya wapendwa wetu tuendelee kuwa wamoja. Mungu ibariki Tanzania.

“Tumewapoteza mashujaa wetu katik elimu, tuwaombee na tuendelee kuwa na subira, uvumilivu na ustahimilivu, aliandika JPM.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post