Tanzania

Ni wakati wa Tanzania kupeleke mgombea AU

Na Ben Saanane,

SIKU moja Kaka Yangu Tundu Lissu katika Candid Talks tu aliwahi kuniambia kuwa Ukiwa na Taaluma na Ukaisimamia unaweza kufanya siasa kisomi zaidi na ukawashinda wanasiasa Uchwara kwa facts na intellectualism.

Ikiwa una Taaluma ya Sheria itumie vyema kabisa na hasa ukiwa Mwanasiasa wa Upinzani kukosoa ,kuhoji na kushauri masuala yote ya kisheria and beyond na unaweza kuitumia taaluma yako uwezavyo kuwapeleka Left-right-Center Wapinzani wako.

SOMA NA HII:  Ukosefu wa Ajira Wasababisha Website ya Chuo Tanzania Kudukuliwa

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako