Home Nyingine Ni Utani Tu!! Kuwa Mkweli – Namba ya Mpenzi Wako Umeisave Jina Gani Kwenye Simu Yako?

Ni Utani Tu!! Kuwa Mkweli – Namba ya Mpenzi Wako Umeisave Jina Gani Kwenye Simu Yako?

0
0

Leo unaweza kufurahi ama kuchukia kwa kuangalia jina alilokusave mpenzi wako kwenye simu yake ya mkononi.

Girlfriend wangu yupo karibu sana na simu yangu na sina jinsi zaidi ya kutumia jina ambalo lipo Romantic ili kuwatisha wasichana wengine wanaposhika simu yangu na pia kumfanya ajisikie special kwenye maisha yangu.

Kuwa Mkweli– Namba ya Mpenzi Wako Umeisave Jina Gani Kwenye Simu Yako?

Toa maoni yako.

Mimi:- Kighane Kyangu (Mpenzi wangu)

Vipi kuhusu wewe?

(0)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *