NEC yatoa ufafanuzi kuhusu nafasi iliyoachwa na Sophia Simba

Comment

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeutaarifu Umma juu ya kuendelea na taratibu za kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Mbunge wa Viti maalumu(CCM) Sophia Simba aliyefukuzwa uanachama wa Chama cha Mapindizi (CCM).

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji(R) Semistocles Kaijage ameeleza kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha Mwenyekiti wa Tume kuwa kufuatia Mbunge huyo kufukuzwa uanachama wa CCM hivyo kiti cha Mbunge huyo kiko wazi.

Angalia Video hapa chini:

Up Next

Related Posts

Discussion about this post