NDIYO! WhatsApp Hivi karibuni Itakuruhusu Utafute Emojis!

Comment

Ninapenda emojis 😆 kiasi fulani, nina maanisha, ni nani asiyezipenda? Hata hivyo, kuna nyakati ambapo tuna kutana ma matatizo ya kupata emoji. Siku chache tu zilizopita, nilijaribu kutafuta emoji ya keki ya siku ya kuzaliwa , lakini sikuipata kwa sababu ya kutokuwa na uvumilivu.

Jambo hili karibu litabadilika angalau kwenye Whatsapp kwa sababu kampuni imeamua kuleta emojis unazoweza kuzitafuta kwenye programu. Kidogo zimekuja kwa kuchelewa kwenye sherehe , lakini ni nani anayelalamika?

Maana yake ni kwamba wakati wowote unapoandika neno ambalo linaweza kuwa na emoji, utaambiwa na kupewa fursa ya kutumia.

Hata hivyo, hii bado inapatikana kwenye WhatsApp beta, kwa sasa (unaweza kushusha APK ya WhatsApp beta), lakini kuwa na matumaini ya kupata huduma hii – pamoja na uwezo wa kushirikisha aina yoyote ya faili- hivi karibuni.

Nani amefurahi?

Hii ni hali yangu ya sasa:

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!