Ni muda wa kucheza muziki kidogo:

Baada ya miezi kadhaa ya majaribio ya kipengele hiki, Facebook kwa hekima yao sasa wameruhusu kila mtu kujibu maoni kwa kutumia GIF kutoka Giphy au Tenor.

Kabla ya sasa, ulikuwa uweza kuongeza “GIF links” tu, si kupakia (upload) GIF.

Kuanza kutumia GIF, bonyeza kitufe cha ‘GIF’ katika sehemu ya maoni, na kutafuta GIF unayotaka kutumia.

#HabariWanayo: Maboresho haya madogo yanaweza kunishawishi kutumia facebook zaidi.

Sambaza:

Written by Mediahuru Team

Hapa Mediahuru, tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi kila siku. - MediahuruDotCom | info@mediahuru.com

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako