Nyingine

Nape aondolewa kwenye Baraza la Mawaziri, Mwakyembe achukua nafasi yake

Rais Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mheshimiwa Nape Nnauye kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Badala yake amemtua Dkt Harrison Mwakyembe kushika nafasi hiyo. Chini ni taarifa ya uteuzi huo mpya:

SOMA NA HII:  Kuwa mkweli! Jina gani umetumia ku-save namba ya simu ya mama yako?

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.