Nyingine

Nani miongoni mwa wasanii hawa unafikiri bado atakuwa bora kwenye muziki miaka 10 ijayo?

Kuwa msanii maarufu wakati una umri mdogo katika  kiwanda cha muziki wa Tanzania si jambo rahisi.

Ushindani ni mkubwa sana kiasi kwamba wasanii wengi hawaweze kupita kwenye moto unaoletwa na ushindani huu. Bila ya kutaja majini tumeshuhudia baadhi ya wasanii wakipata majina makubwa kwa muda mfupi na kufikiri watakuwa maarufu milele, ila baada ya mwaka mmoja ama miwili majina yao yanapotea kama picha ya zamani.

Kwa sasa, Alikiba, Diamond Platnumz, Ben Paul, Jux ni baadhi ya wasanii vijana wanaofanya vizuri.

Swali ni; Nani kati yao unafikiri bado atakuwa na nguvu kwenye muziki miaka 10 ijayo?

SOMA NA HII:  80% watashindwa mchezo huu: ni Glass gani itajazwa kwanza?

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.