Kompyuta

Namna ya kuinstall Apache, PHP na Mysql katika Linux Ubuntu

Habari ndugu msomaji wa makala zetu, leo tujifunze baadhi ya command zitakazo kusaidia wewe WEB developer, namna ya kuinstall Apache, PHP na Mysql katika linux ubuntu.Fuatilia hatua hizi fupi..


1. Unatakiwa ku-update system yako kwa kuandika code ifuatayo


2. Anza kuweka seva ya Apache

3Anza kuinstall Mysql


Hapo utaona kuna line nyingine zimeongezeka hizo ni modules ambazo zinaunganisha mysql na php pamoja na apache2 server.


4. Anza kuweka php kwenye kompyuta yako


Pia haitakuwa mbaya kama ukiongeza file ambalo linaelezea php katika forder (directory index). Kwenye Terminal andika code zifuatazo

Kwenye sehemu ambayo imeandikwa DirectoryIndex, ongeza neno index.php


Hapo tayari webserver inafanya kazi kabisa.Kumbuka kwenye LAMP forder inayokaa mafile *.html na mafile mengine ya kwa ajili ya tovuti ni folder liloandikwa “www/html”, ambayo adress yake ni /var/www/html, mfano unataka kuandika file .php andika code ifuatayo kwenye terminal

kisha itafunguka text editor ambayo utaongeza code ifuatayo


Kisha kwenye browser ingiza adress ya localhost/info.php, kisha ikifunguka jua kila kitu kipo sawa.

Maoni yako Hapa chini

SOMA NA HII:  Mbinu 4 muhimu za kuweka kompyuta yako salama
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.