Mwanaume shoga atangaza ndoa jukwani kwenye show ya Adele ( Video+Picha )


Kwenye show ya Adele “Melbourne concert” iliyofanyika  weekend iliyopita Etihad Stadium nchini Australia, kuna tukio limeshangaza wengi baada ya mwanaume mmoja ambaye ni shoga  kutangaza ndoa jukwaani mbele ya umati wa watu. Mtu huyo aliyejulikana kwa jina la Chris, 37, alimvutia mwimbaji huyo baada ya kutokwa na machozi wakati anaimba wimbo wa ‘Hello’ hivyo akamwita jukwaani pamoja na mpenzi wake, Wade. Cha kushangaza , Wade akapiga goti na  kuomba mkono wa Chris kwajili ya ndoa.

Jamaa naye akakubali. Adele akawakumbatia wanandoa hao na kusema hakujua kama tukio hilo lingetokea. Angalia video hapa chini.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA