Mwanamuziki bora wa kike

Wanawake hawa wote wapo vizuri  na kila mmoja ana rangi tofauti kwenye sauti yake.

Ni ngumu kuchagua ila kama natakiwa kuchagua, Nitamchagua…………. Lady Jay Dee tena na tena.
HAPANA, Nitamchagua Vanessa Mdee!……Hapana Grace Matata !!…………….Ehhhhh Wewe utamchagua nani?

Leave a Reply