Kwa nini Mwanamke Anaweza Kuweka Picha Zake Za Uchi Kwenye Simu Yake? – Uzoefu Binafsi


Siku moja nilienda dukani kununuzi kompyuta kwajili ya matumizi binafsi ya nyumbani. Nilikuwa nimekaa kwenye kiti huku nikiendelea kukagua na kupima uwezo wa laptop niliyoinunua. Kuna jamaa aliingia na mwanamke mzuri sana … Aliketi karibu nami wakati bf wake alipokwenda kuchagua laptop.

Alifungua simu yake na kwenda kwenye “gallery”, macho yangu sasa yalibadili uelekeo yakaelekea kwenye simu yake moja kwa moja. Haaah, picha zake za uchi na selfie zote zisizofaa zilikuwa kila mahali. Aligundua naangalia hivyo akafunga mara moja.

Nilijua lazima alihisi aibu. Ok, ingekuwaje kama simu yake imeibiwa au rafiki yake akizitumia kumdharirisha. Mimi bado sipati majibu. Ina maana anashindwa hata kuficha picha zake kwa kutumia programu (app).

Unahisi nini ? Je una maoni gani kuhusu jambo hili ?

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA