Nyingine

[Music] Professor Jay – Kibabe

Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop Bongo Professor Jay, ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘KIBABE (The Icon)’, ngoma imetengenezwa na Mr T Touch, Huu ni ujio wake mpya kwa mwaka huu.

DOWNLOAD MP3

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *