Home Nyingine [Music] Miracle- SHETANI

[Music] Miracle- SHETANI

0
0

Kutoka Dodoma, mmoja wa wasanii wanaounda Kundi la Dom Down Click almaarufu DDC.  Ametoa wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la SHETANI chini ya mtayarishaji Bin Laden Biorn Records.

Unaweza kupakua wimbo huo hapa chini au mtumia ujumbe mfupi katika whatsapp yake kwenda 0653 40 80 28 atakutumia wimbo huo.

DOWNLOAD MP3

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *