Home Nyingine [Music] Javan- Mzee Mzima ft. Adam Shule Kongwe

[Music] Javan- Mzee Mzima ft. Adam Shule Kongwe

0
0

JAVAN Msanii toka Mkoani Dodoma na anatokea kundi la DDC (Dom Town Click) linaloundwa na wasanii kibao kama ANDRE K , SLOGAN, ADAM SHULE KONGWE, MIRACLE, GODA na wengine wingi hapa anakuja na track ‘MZEE MZIMA’ alomshirikisha ADAM OLD SKUL ‘SHULE KONGWE’ na producer ni LIL BERO Studio ikiwa ni AJ RECORDS Dodoma.

DOWNLOAD MP3

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *