Mtoto wa kiume vs Mtoto wa kike – Kwa nini Waafrika wanawathamini zaidi watoto wa kiume kuliko wa kike?

Comment

Guys! Kama Mke wako amebahatika kupata watoto 4 wa kike, Je utaendelea kujaribu upate mtoto wa kiume ?

Ladies! kama wewe umejifungua watoto 4 wa kike . Je utashukuru Mungu na kuacha ama utaendelea hadi upate wa kiume ?

Kwa nini watoto wa kiume wanathaminiwa zaidi barani Afrika? Kwa nini wanawake huofia ndoa zao kuvunjika kama watashindwa kuwa na mtoto wa kiume ?

Je, Una mawazo gani katika hili ? Toa Maoni yako.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!