WhatsApp DOWN: Mtandao wa Whatsapp umepotea hewani dunia nzima

Comment

Watu wengi wameshangazwa na kuona simu zao usiku huu ukituma ujumbe wa Whatsapp hauendi na kuanza kujiuliza kama shinda ni salio, simu au tatizo la kiufundi.

Mtandao wa kijamii wa ujumbe wa WhatsApp umeacha kufanya kazi ghafla kwa watumiaji wote duniani huku watumiaji kushindwa kutuma wala kupokea jumbe.

Hata hivyo wahusika wa mtadao huo wa kijamii wa WhatsApp hawajatoa taarifa sahihi ya kutokea kwa tatizo linaonednela kuwazuia watumiaji kushindwa kutuma wala kupokea jumbe kupitia mtandao huo jambo ambalo linawalazimu kungoja tatizo hilo litatuliwe.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!