Sambaza:

Simba wameshinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar na wamepewa point tatu na magoli matatu baada ya kuibainika mchezaji wa kagera Sugar Mohammed Fakhi alicheza mechi ya Simba akiwa na kadi tatu za njano.

Mchezaji huyo anadaiwa kupata kadi hizo katika michezo dhidi ya Mbeya City, Majimaji na African Lyon.

Sasa katika msimamo wa ligi Simba inakuwa imefikisha pointi 61.

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako