Nyingine

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kupata watoto mapacha

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo anategemea kuwa baba wa watoto mapacha wa kiume hivi karibuni.

Nyota huyo wa Real Madrid (32) hapendi kuweka wazi maisha yake binafsi, lakini aliwaambia rafiki zake wa karibu kuwa anategemea kupata watoto wa kiume hivi karibuni. Mapacha hao watafikia katika jumba lake kubwa lililojengwa kwa gharama ya pauni 5 milioni katika jiji la Madrid.

Hii ni mara ya pili kwa Ronaldo kuficha jina la mwanamke aliyezaanaye kama ilivyokuwa kwa mama wa mtoto wake Cristiano Jr, inasemekana mwanamke huyo alipewa pauni 10 milioni na Mreno huyo kutojitangaza kuwa
ni mzazi mwezie.

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close