Nyingine

Movie hii inaitwaje ?

Habari za siku wadau leo ni siku nyingine nzuri, swali la leo ni maalumu kwa wale ambao wanaangalia movie mara kwa mara.

Ingawa mimi sio mdau mkubwa wa movie za kibongo ila bado kuna baadhi ya Movie za kibongo zinavutia, hivyo muda mwingine zinafanya nipende movie za kibongo.

Hivyo nimechukua screen shot ya filamu hii na kuamua kuwauliza watumiaji wetu jina la movie hii.

Angalia picha

SOMA NA HII:  Kuwa mkweli! Jina gani umetumia ku-save namba ya simu ya mama yako?

Zinazohusiana

JIUNGE NA MAZUNGUMZO, TOA MAONI YAKO HAPA

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako