Mjadala Maalumu kwajili ya Hip HOP

Comment

Najua humu ndani kuna wadau wengi wa muziki kwa ujumla wake, lakini hii ni maalumu kwa wale wenye mapenzi ya dhati na muziki wa HipHop.

Nimegundua, kuwa hakuna mijadala mingi inayozungumzia hip-hop na hata inapozungumziwa, huzungumzwa juu juu…..Nimeona ni vyema tukiwa na sehemu maalumu kwa ajili ya kuzungumzia aina hii ya muziki:

Hapa mimi naanza kwa maswali haya…..unaweza kuuliza ya kwako.

  • Tafsri ya hiphop na utamaduni wa hiphop kwa ujumla.
  • Nani msanii wa hip hop namba 1 Tanzania?
  • Msanii bora wa hiphop wa muda wote ni nani?
  • Album bora ya hiphop ya muda wote ni ipi?
  • Wimbo bora wa hiphop wa muda wote?
  • History ya hiphop…..
  • Records mbalimbali za hiphop

Toa maoni/mitazamo yako vile unavyoelewa kuhusu hiphop. Karibu kwa mjadala!

Up Next

Related Posts

Discussion about this post