Habari za Teknolojia

Miji yenye teknolojia kubwa zaidi dunia

Miji yenye teknolojia ya juu dunia huvutia, hutoa upatikanaji wa mitaji ya ubia, ni nyumbani kwa start-ups  na incubators, ina sifa za kuwa miji bora zaidi – hufanya iwe na uwezo na yenye nguvu – na ni chagua la kwanza kwa upanuzi na uhamisho wa mashirika makubwa ama kampuni. Uchunguzi wa hivi karibuni uliofanywa na Savills World Research umeandaa listi hii ya miji yenye teknolojia kubwa zaidi dunia kwa kuzingatia vipengele tulivyoeleza hapo juu.

Miji yenye teknolojia kubwa zaidi dunia-mediahuru
SOMA NA HII:  CIA imeonyesha "hard drives" za Osama bin Laden zenye video games, anime, na filamu za watoto

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako