Mifumo maarufu zaidi ya uendeshaji “operating systems” kwenye simu na kompyuta


Takwimu za hivi karibuni kutoka NetMarketShare zinaonyesha kwamba Windows 7 bado ni mfumo maarufu zaidi wa uendeshaji (operating system) kwenye kompyuta duniani kote.

Takwimu za Agosti 2017 pia zinaonyesha kuwa iOS na Android 6.0 bado ni mifumo ya uendeshaji ya simu inayo tumika sana, ingawa idadi ya vifaa vinavyohamia kwenye Android 7.0 imeongezeka.

Nambari za “Mobile OS” zinaonyesha kwamba Android inaongoza juu ya iOS kwa ujumla, huku Windows Phone ikiwa katika nafasi ya tatu – imechukua jumla ya hisa 0.81% za soko la simu.

NetMarketShare haijatoa maelezo ya toleo la iOS, lakini takwimu za tovuti ya Wasanidi Programu ya Apple (Apple Developer website) zinaonyesha kuwa 89% ya watumiaji wa iOS walikuwa kwenye iOS 10 na 9% walikuwa kwenye iOS 9 hadi tarehe 6 Septemba.

Mifumo maarufu zaidi ya uendeshaji (operating systems) kwenye kompyuta na simu kwa Agosti 2017 imeelezewa kwa kina hapa chini.

Desktop Operating Systems


Mobile Operating Systems

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA