Nyingine

MH Lyrics Contest:- Kwenye wimbo gani “Joh Makini” ametumia mistari hii?

Karibu Kwenye Mjadala

Hili ni toleo letu jingine la  “Mediahuru Lyrics Contest” tupo na mwanachama wa  Weusi, Joh Makini.

Tunajua wengi mnampenda Joh Makini kwa nyimbo nzuri anazotoa ambazo zinakonga mioyo ya wengi na kuburudisha zaidi.

Hii ni mistari ambayo imetumika kwenye moja ya nyimbo za Joh Makini

Angalia Mistari hapa chini:-

Demu for you wanajifanya wamelewa
Na kumbe wana stress za kuolewa boo
Subiri maisha yawapigie boo
Nipe number mi ni come through

SOMA NA HII:  Marufuku Matumizi ya Takwimu za Kampuni ya Geopoll - Dkt. Mwakyembe

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.