Apps za SimuSimu za Mkononi

Mgeni Wetu: Zifahamu App 10 Mpya Za Android

App mpya zinahitaji upendo pia, sawa? Kila siku kuna maelfu ya app yanaongezwa kwenye Google Play store, lakini nyingi zinaishia kutotambuliwa na hazipati heshima zinayostahili. Tumeonyesha katika siku za nyuma kwamba jumuiya hii (Mediahuru) inaweza kugundua app nzuri na kuzipeleka kwenye viwango vipya. Safu yetu ya kila wiki ya Mgeni Wetu inaonyesha apps mpya zilizopakuliwa chini ya mara  100,000. Vinjari app mpya za Android tulizozichagua hapa chini na utujulishe unayoifurahia.

Chatrandom

 

Chatrandom

Ufafanuzi: Chatrandom imebadilisha njia ambazo watu hukutana na wageni mtandaoni. Ilizinduliwa mwaka wa 2011 na inatumika na mamilioni ya watu kila mwezi Chatrandom ni chombo chenye nguvu cha kukutana mara moja na watu wapya kwa ajili ya mazungumzo ya video,flirt, dating au kukutana tu na watu ambao pengine kamwe usingekukutana nao.

BBC Taster VRBBC Taster VR

Ufafanuzi: Imeletwa kwako na BBC Taster, nyumba ya BBC ya mawazo mapya. Kugundua njia bora ya kuona maudhui ya hivi karibuni kutoka kwenye huduma mbalimbali za BBC.

AmpliTube

Amplitube

Ufafanuzi: Unataka kubadilisha kifaa chako kuwa gitaa la kwenye simu na bass tone studio? AmpliTube inakupa nguvu mikononi mwako ikiwa na mkusanyiko mkubwa wa virtual gear ambazo unaweza kuzitumia kujifunza, kucheza na kurekodi sauti ya daraja la dunia wakati wowote na kila mahali.

Xperia™ Home

Xperia Home

Ufafanuzi: Hii ni Google feed iliyo kamilifu. Customize grid size, icon appearance na mengine mengi zaidi. Weka wallpapers kwa kwa haraka unaweza kufanya hivyo kwa upande wa theme pia. Urahisi wa kupata programu zako unazozipenda na kupata mapendekezo kwa ajili yako.

That’s You!

That's You

Ufafanuzi: That’s You! Ni app unayohitaji kucheza game kwa mfumo wa PlayStation®4. Tafadhali kumbuka: App hii inafanya kazi kama controller.

Geeks Comics

 

SOMA NA HII:  Hizi Ndio Simu 4 Bora kwa Wapenzi wa Muziki

Geeks Comics

Ufafanuzi: Ina Tech Comics nyingi kwajili  Geek ikiwa na makundi tofauti. Makundi ni kama: Kompyuta, Uundwaji(design), Michezo ya Kubahatisha, Simu, Programming. Unaweza kushirikisha wasifu wako pia!

KReviewKReview

Ufafanuzi: Programu hii itatumia tovuti mbili za Amazon review analyzer ili kukupa ufahamu fulani kama unaweza kuamini kama maoni ni ya kweli.

Swift Watch Face

Swift Watch Face

Ufafanuzi: Ina Swift Watch Face. Chagua rangi. Eleza muda wa pili wa kuonyesha kwenye digital display. Siku na Mwezi. Angalia betri. Betri ya Simu ya mkononi. Hali ya hewa. Hesabu ya kila siku.

NYTimes – Chinese Edition

NYTimes - Chinese Edition

Ufafanuzi: NYTimes – Toleo la Kichina ni la kwanza lisilo la kingereza kutoka shirika la habari la New York Time. Lengo la app hii ni kusogeza habari kubwa kwa wasomaji wa China pamoja na ripoti za China, uchambuzi na maoni.

Flowx

Flowx

Ufafanuzi: Flowx ni app ya hali ya hewa ya kipekee ambayo imeundwa kwa uelewa rahisi wa utabiri wa hali ya hewa. Angalia hali ya hewa na kusoma grafu kwa urahisi. Ikiwa na uteuzi wa chaguzi za data na widgets, Flowx inafaa  kwa ajili ya marubani, wapiga picha, wasafiri au kwajili ya shughuli zako za kila siku.

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako