Mbinu za Kubeti Mpira wa Miguu na Kushinda


Kubeti Mpira

Kubeti mpira wa miguu kwa ujumla hufanywa na aina mbili za wazee wa kuweka mzigo: Wale ambao wanabeti kushinda – kupata hela na wale ambao wanabet kwa ajili ya kufurahisha nafsi.

Haijalishi ni aina gani ya kubeti, lengo kuu ni kuishinda kampuni ya betting. Ingawa mpira wa miguu hautabiriki (ndio inafanya mpira kupendwa zaidi), mbinu za kubeti zinaweza kufuatwa ili kuongeza uwezekano wa kushinda.

Kanuni ya kwanza ni kuwa muwazi na mwenye ujasiri kuhusu jinsi ya kubeti na timu gani unaweza kutabiri matokeo yake. Daima zingatia mbinu zifuatazo kabla ya kufanya utabiri wa mechi:

SOMA NA HII:  Format memory card, flash drive (Njia ya kuondoa virus kabisa)

Fomu ya Timu:
Daima angalia fomu na kiwango cha hivi karibuni cha timu. Ikiwezekana, soma ripoti za mechi za hivi karibuni ili uone kama timu hiyo haikuwa na bahati kwa sababu ya kipa wa upinzani siku hiyo ilikuwa nzuri kwake nk.

Matokeo ya Nyumbani na Ugenini:
Angalia takwimu za nyumbani na ugenini. Baadhi ya timu zinacheza vizuri nyumbani, baadhi hucheza vizuri zaidi ugenini.

Head-to-head:
Angalia historia kati ya vilabu viwili kwa sababu katika soka, mara nyingi zaidi, historia hujirudia mwaka baada ya mwaka.

Habari za Timu:
Hakikisha daima unaangalia taarifa kuhusu majeruhi na adhabu. Ni wachezaji gani hawapo na wana umuhimu gani kwenye simu. Angalia sifa za wachezaji ambao wameingia badala ya wachezaji majeruhi.

SOMA NA HII:  Jinsi ya kurudisha Mafaili Yaliyofutwa Katika Kompyuta

Motisha:
Angalia motisha/ hamasa ya timu na ni muhimu kiasi gani kwao kushinda mechi hiyo. Je! Wanahitaji pointi kweli , wanapenda kikombe cha ndani na kadhalika.

Ratiba:
Angalia ikiwa timu imekuwa na ratiba ngumu na kama wanaweza kuwa wamechoka. Ikiwa mchezo wa mwisho walicheza kiwango cha chini au kama mchezo ujao ni muhimu zaidi kwao kucheza vizuri.

Cheza Kwa Furaha

Imeandikwa na Benix Matrix

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA