Sambaza:

Tangu April 1, uuzaji wa pombe barabarani umepigwa marufuku nchini India. Baa zote zilizo ndani ya mita 500 kutoka kwenye barabara kuu zote sasa haziruhusiwi kuuza pombe

Hatua hiyo imechukuliwa kuzuia idadi ya vifo vinavyosababishwa na watu kuendesha wakiwa wamelewa. Hilo ni pigo kwa baa, hoteli nyingi na vijiwe vya kuuzia ulabu katika sehemu nyingi nchini humo.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali mapato zaidi ya dola bilioni 10 yatapotea kutokana na uamuzi huo.


Sambaza:
SOMA NA HII:  Jinsi ya Kuepuka Makosa 5 Yanayofanywa na Wamiliki wa Website

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako