Marufuku kuandika au kutangaza habari zinazomuhusu Paul Makonda

Jukwaa la Wahariri Tanzania limelaani kitendo kilichofanywa na RC Makonda na kutangaza hatua walizochukua. Taarifa waliyotoa kwenye vyombo vya habari inasema:  "Tunaalani...

1 0
1 0

Jukwaa la Wahariri Tanzania limelaani kitendo kilichofanywa na RC Makonda na kutangaza hatua walizochukua.

Taarifa waliyotoa kwenye vyombo vya habari inasema:

 “Tunaalani vitendo vya Makonda na atakayekiuka na kufanya kazi na Makonda, kitakachomkuta hatutamsaidia”

“Waandishi,wahariri wote tunakubaliana, sote tunasema halikubaliki na tunalaani vikali vitendo vya Makonda”

“Utekelezaji agizo la kutokufanya kazi na RC Dar unaanza mara moja kwa vyombo vyote vya habari nchini, uamuzi huu waungwa mkono na UTPC”-Jukwaa la Wahariri

In this article

Join the Conversation