Mapenzi ya MC Pilipili na Rose Ndauka sasa hadharani

Comment

Baada ya kukwepa kuthibitisha kwa muda mrefu kuwa wana uhusiano, mchekeshaji Emmanuel Mathias maarufu kama MC Pilipili na muigizaji, Rose Ndauka wameamua kutojificha tena.

Ndauka aliongozana na Pilipili kwenye show yake ya Dodoma siku ya Christmas na kupandishwa jukwaani kuchekesha na mzee. Muda wote wawili hao walikuwa wakiongozana kama kumbikumbi na kudhihirisha kuwa mahaba yamewaelemea.

Tazama picha hizi:

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!